
Chanzo, hatari ya wanafamilia kuchukiana
Katika jamii zetu, familia imeendelea kuwa nguzo muhimu ya malezi, upendo, na mshikamano. Hata hivyo, kumekuwa na ongezeko la visa vya familia kuvunjika kutokana na kutokuelewana, chuki zilizokomaa, na ukosefu wa mawasiliano kati ya wazazi na watoto au kati ya ndugu wa tumbo moja. Migogoro hii ina athari kubwa na imeendelea kuleta kwa baadhi ya…