
Serikali yaipongeza Sahara Spark, yawaahidi kuwashika mkono
SEREKALI imesema kuwa itaendelea kutoa mazingira wezeshi kwa wabunifu na wavumbuzi katika masuala ya Teknolojia ili kuinua na kampuni changa za kibunifu ‘Startup’. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yamesemwa leo tarehe 27 Septemba, 2024 na Dk. Amos Nungu, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi (Costech), kwenye onesho la…