
Viongozi wahimiza upatikanaji wa suluhu ya mizozo – DW – 27.09.2024
Katika hotuba yake kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Kenya William Ruto amesema kufikia Januari mwaka ujao, nchi yake itatuma maafisa zaidi wa polisi nchini Haiti hadi kukamilisha kikosi cha maafisa 2,500. Ruto ameyasema haya katika mkutano huo; “kufuatia uidhinishaji wa Baraza la Usalama chini ya azimio nambari 2699, Kenya imetuma maafisa wa…