
Netanyahu awasili mjini New York atarajiwa kutoa hotuba hii leo mkutano mkuu wa UN
Wakati waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, awasili mjini New York siku ya Alhamisi kabla ya hotuba yake kwa mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa, uliopangwa kufanyika Ijumaa asubuhi, huku waandamanaji wanaopinga vita huko Gaza wakikusanyika karibu na makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Kundi moja la watu waliopeperusha bendera za Israel na mabango ya…