Wadau wa uchaguzi Kibaha DC wahimizwa kwenda kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Regina Bieda, amewasihi wadau wa uchaguzi kuhamasisha wananchi kujitokeza kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024. Akizungumza kwenye kikao cha kutoa maelezo ya uchaguzi kwa wadau hao, Bieda alitoa ratiba nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Alisema…

Read More

Serikali yakana wagonjwa kubebwa kwenye matenga Tunduru

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amekanusha wagonjwa kusafirishwa kwa pikipiki wakiwa wamewekwa kwenye matenga kupelekwa hospitali, wilayani Tunduru. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Badala yake, Mchengerwa amesema mwaka jana serikali ilitoa magari 535 ya wagonjwa nchi nzima na wilaya hiyo…

Read More

Mwenge watua kwenye mradi wa maji wa RUWASA Missenyi unagharimu zaidi ya bilioni 2

Mwenge wa uhuru mwaka 2024 unaendelea kukimbizwa Mkoani Kagera ambapo leo umefika Wilaya ya Missenyi kwa ajili ya kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani humo. Ukiwa Wilayani Missenyi umepitia,kuzindua na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ukiwemo mradi wa maji Byeju unaotekelezwa chini ya Wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) ukigharimu zaidi ya…

Read More

TANROADS yaeleza mafanikio makubwa iliyopata katika kipindi cha miaka 3 ya utawala wa Serikali ya Awamu ya 6

Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imesema inafanya usanifu wa kina na usimamizi wa Ujenzi wa Viwanja vya ndege, Madaraja na Barabara kulingana viwango vinavyohitajika . Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mipango ya Miundombin Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Ephatar Mlavi wakati akizungumza na waandishi wa Habari pamoja na wahariri wa vyombo vya habari hii…

Read More

Dk. Biteko awataka wafanyabiashara kuwafichua wanaowakwamisha

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko amezitaka taasisi mbalimbali kuacha vikwazo kwa wafanyabiashara badala yake ziwe wezeshi ili kukuza sekta hiyo muhimu nchini. Amesema andiko la Blueprint limeainisha changamoto mbalimbali zinazokwaza maendeleo ya sekta ya viwanda na biashara nchini na Serikali inaendelea kuhakikisha changamoto zinazokabili biashara…

Read More

Airpay na ZEEA kurahisisha mikopo kwa wajasirimali Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital KAMPUNI ya Airpay Tanzania imesema kuwa mfumo wa kidigitali walioutengeneza kwa kushirikiana na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na taasisi zingine za kifedha utawarahisishia wajasiriamali wa Zanzibar kupata mikopo kwa urahisi na haraka. Hayo yamebainishwa Septemba 26, 2024 na Ofisa Mawasiliano kutoka Kampuni ya Airpay Tanzania, Barnabas Mbunda, wakati…

Read More

Risasi, Kahama Sixers kukiwasha fainali

LIGI ya Kikapu Mkoa wa Shinyanga imefikia patamu wakati Risasi na Kahama Sixers zikitarajiwa kuchuana katika fainali ya ligi hiyo itakayopigwa Oktoba 6, mwaka huu. Risasi na Kahama Sixers zilitinga hatua hiyo baada ya kushinda michezo miwili dhidi ya Veta na B4 Mwadui mtawalia. Katika mchezo wa kwanza, Risasi iliifunga Veta kwa pointi 92-80 na…

Read More

KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIPULI CHA EACS KAHAMA CHAJIVUNIA BIDHAA ZA VIWANGO BORA

Meneja wa Kiwanda cha East Africa Conveyor Supplies Limited (EACS) Mhandisi  John Kubini (kulia) akionesha vipuli vilivyotengenezwa katika kiwanda cha EACS kilichopo Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga   Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog   Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kisasa kinachozalisha Vipuli vya Mitambo cha East Africa Conveyor Supplies Limited (EACS), Peter Andrew Kumalilwa ameishukuru Serikali ya Awamu ya…

Read More