
Makala| Bashe anavyochochea kilimo kuwa ufunguo wa maendeleo, ajira Tanzania
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Kilimo kimeendelea kuwa uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, kikiajiri zaidi ya asilimia 75 ya wananchi. Sekta hii inachangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya nchi na kutoa ajira kwa wakazi wa maeneo ya vijijini. Pamoja na changamoto mbalimbali zinazokabili sekta hii, serikali na wadau wamekuwa wakifanya juhudi kubwa…