
Pombe, energy ni balaa kwa ogani
Dar es Salaam. “Nimeshazoea, kwa sasa siwezi kufurahia kunywa pombe kali bila kuchanganya na energy drink (kinywaji cha kuongeza nguvu), pasipo kufanya hivyo ninahisi kama kinywaji changu kinapungua ladha,” anasema mmoja wa vijana akiwa katika moja ya maduka ya kuuza vinywaji jijini Dar es Salaam. Huyo ni mmoja kati ya vijana ambao wamekuwa na utaratibu…