MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA WAFANIKIWA KUTOA KIZAZI BILA KUPASUA TUMBO – MWANAHARAKATI MZALENDO

    Madaktari bingwa wa Rais Samia, walioko katika kambi ya matibabu ya Hospitali ya Halmashauri ya Babati vijijini (Magugu), wamefanikiwa kumtoa kizazi mwanamke wa miaka 62 bila kufanyiwa upasuaji wa tumbo, katika operesheni iliyofanyika kwa njia ya ukeni. Mama huyo, mkazi wa kijiji cha Gichameda, alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kushuka kizazi (uterine prolapse)…

Read More

Acheni kuipatia Israel silaha – DW – 27.09.2024

Mkutano huo wa mjini New York kwa kiasi kikubwa umetawaliwa na wasiwasi kuhusu vita vya Urusi nchini Ukraine, vita vya Israel na Hamas huko Gaza, na uwezekano wa kutanuka kwa  mzozo wa Lebanon. Rais wa mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuacha kuipatia silaha Israel: “Acheni uhalifu huu. Acheni sasa. Acheni…

Read More

Ahadi ya dola bilioni 1.5 kwa ajili ya elimu na mafunzo ya ujuzi katika nchi za kipato cha chini – Masuala ya Ulimwenguni

Ahadi ya Kituo cha Kimataifa cha Fedha kwa Elimu (IFFed) itashughulikia dharura mbaya lakini inayosahaulika mara nyingi ya elimu ya kimataifa. Kwa sasa, watoto milioni 250 hawaendi shuleni huku zaidi ya vijana milioni 800 – zaidi ya nusu ya vijana duniani – wataacha shule bila ujuzi wowote kwa nguvu kazi ya kisasa. Pia itasaidia kuziba…

Read More

Debora: Tulieni kuna jambo linakuja

STAA wa Simba, Debora Fernandes Mavambo amewaambia mashabiki bado ana vitu vingi ambavyo anaweza kuonyesha akiwa na Wekundu hao wa Msimbazi kadri ambavyo atakuwa anazidi kuelewana na wachezaji wenzake kwenye kikosi hicho. Debora ambaye alizaliwa Februari 17, 2000, jijini Luanda, Angola, amekuwa kipenzi cha mashabiki wa Simba kutokana na namna ambavyo amenogesha eneo la kiungo…

Read More

'Tunahitaji Uchaguzi Wenye Ushindani ili Nchi Zilizojitolea Kweli Pekee Zichaguliwe kwa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa' — Masuala ya Ulimwenguni

Madeleine Sinclair na CIVICUS Alhamisi, Septemba 26, 2024 Inter Press Service Septemba 26 (IPS) – CIVICUS inajadili uchaguzi ujao wa wanachama wapya wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa (UN) na Madeleine Sinclair, Mkurugenzi wa Ofisi ya New York na Mshauri wa Kisheria katika Huduma ya Kimataifa ya Haki za Kibinadamu (ISHR)….

Read More