
HII HAPA SABABU YA NAOMI KUPIGWA MARUFUKU MIAKA 5 KUDHAMINI FASHION FOR RELIEF – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mwanamitindo maarufu duniani Naomi Campbell (54), amepigwa marufuku ya miaka 5 kuwa Mdhamini wa Shirika la hisani alilolianzisha kwa ajili ya kutoa misaada ya kupunguza umasikini. Uamuzi huo umefikiwa baada ya uchunguzi wa kina kupata ushahidi wa kutosha wa matumizi mabaya ya fedha ndani ya Shirika hilo lijulikanalo kama “Fashion for…