
Ujenzi Daraja la Jangwani mbioni kuanza
Dar es Salaam. Serikali imesema Oktoba mwaka huu itasaini mkataba na mkandarasi atakayejenga Daraja la Jangwani. Kwa mujibu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), ujenzi huo unatarajiwa kutumia miezi 24 hadi kukamilika baada ya mkataba kusainiwa. Tanroads imeeleza hayo leo Septemba 26, 2024 katika mkutano na wahariri na waandishi wa vyombo jijini Dar es Salaam,…