HADITHI: Bomu Mkononi – 12

Mishi, binti mrembo wa Kitanga ndio kwanza ametoka kuolewa na dereva wa malori, Musa, ambaye amekuwa akimpa zawadi nyingi hadi zikamvuruga akakolea na kuolewa. Lifti aliyopewa katika Range Rover nyekundu ya kijana mfanyabiashara, Mustafa inamchanganya…

Read More

Ukodishwaji Kisiwa cha Kwale wazua hofu, Zipa yatoa ufafanuzi

Unguja. Wananchi wanaofanya shughuli za ujasiriamali na kusafirisha watalii katika Kisiwa cha Kwale, wameingiwa hofu ya kupoteza shughuli zao, baada ya kuwapo mpango wa kisiwa hicho kukodishwa.  Wameiomba Serikali kuangalia upya mpango wa kukodisha kisiwa hicho, wakisema kinategemewa na wananchi wengi, hususani wenye hali duni kuendesha maisha yao. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji…

Read More

Wateja wa Airtel Money kunufaika na Kampeni ya Jiboost, kujipatia sh. 20,000

 Mkurugenzi wa Airtel Money, Andrew Rugamba akizungumza wakati wa uzinduzi  wa kampeni ya JiBoost na Airtel Money  ambayo inaleta thamani kwa wateja wao. Kampeni hiyo imezinduliwa leo Septemba 26, 2024 jijini Dar Es Salaam. akizungumza wakati wa uzinduzi  wa kampeni ya JiBoost na Airtel Money  ambayo inaleta thamani kwa wateja wao. Kampeni hiyo imezinduliwa leo Septemba 26,…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Mastraika wazawa moto uwe huo huo

NAFURAHISHWA na kazi ya kufumania nyavu ambayo inafanywa na washambuliaji wazawa wanaozichezea timu mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara. Pale Fountain Gate vinara wa kufumania nyavu ni Seleman Mwalimu na Edgar William ambao hadi wakati akili za kijiweni inapoandikwa, walikuwa tayari kila mmoja ameshaifungia mabao matatu timu hiyo. Ukienda Azam kuna Nassor Saadun ambaye katika…

Read More

Kiungo Yanga aanika kuhusu namba 17

KIUNGO wa Yanga Princess, Agnes Pallangyo amesema lengo la kutumia jezi namba 17 ni kwa sababu ya kumkubali nyota wa kimataifa, Cristiano Ronaldo. Nyota huyo alisajiliwa msimu huu akitokea Fountain Gate Princess ya Dodoma ambayo ilimaliza nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi ya Wanawake (WPL). Akizungumza na Mwanaspoti, Pallangyo alisema kwenye maisha yake hatokuja…

Read More

Tshisekedi ataka Rwanda iwekewe vikwazo

  RAIS Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi, ametoa wito Jumuiya kwa Kimataifa kuiwekea Rwanda, vikwazo kutokana na kuwaunga mkono waasi wa M-23, wanaoendesha vita mashariki mwa nchi hiyo. NEW YORK, Marekani Tshisekedi ameitoa kauli hiyo wakati wa mkutano Mkuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York jana.Tshisekedi ambaye ametaka kuondolewa kwa wanajeshi wa…

Read More

Watetezi wa Mazingira katika Mstari wa Kurusha risasi – Masuala ya Ulimwenguni

Mwanaharakati wa mazingira Nonhle Mbuthuma. by Busani Bafana (bulawayo, zimbabwe) Alhamisi, Septemba 26, 2024 Inter Press Service BULAWAYO, Zimbabwe, Septemba 26 (IPS) – Mwaka 2017, mwanahaŕakati wa Afŕika Kusini Nonhle Mbuthuma alichukua msimamo dhidi ya kampuni kubwa ya mafuta ya Shell, na kusitisha mipango yao ya kuchunguza Pwani ya mwituni. Licha ya kukabiliwa na vitisho…

Read More