HADITHI: Bomu Mkononi – 11

Mishi, binti mrembo wa Kitanga, ndio kwanza amefunga ndoa na dereva wa malori, Musa, ambaye amekuwa akimpa zawadi mbalimbali zilizomchanganya hadi akakolea. Ghafla anamuona shosti wake, Amina akiwa na pesa nyingi anazopewa na bwana wake mpya. Mishi anatamani naye angekuwa anapata pesa nyingi kama hizo…

Read More

Tigo wajitenga na sakata la kuvuja taarifa za Lissu

Dar es Salaam. Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company (“TIGO”) imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa. Taarifa hiyo inatokana na kesi inayoendelea nchini Uingereza kati ya Kampuni ya Millicom iliyokuwa ikimiliki…

Read More

KAYA 2,700 KATIKA VITONGOJI 90 VYA MKOA WA NJOMBE KUSAMBAZIWA UMEME

Wakala wa Nishati Vijijini (REA); tarehe 25 Septemba, 2024 imemtambulisha rasmi mkandarasi ambaye ataanza rasmi Mradi wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 90 vya mkoa wa Njombe ambapo imeelezwa kuwa kaya 2,700 zitanufaika na huduma ya umeme kupitia Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye Vitongoji (HAMLET ELECTRIFICATION PROJECT); Mradi umetengewa shilingi bilioni TZS 10.07. Akiongea kwa niaba…

Read More

UTENDAJI WA PSPTB WAPENGEZWA NA WAJUMBE WA BARAZA

Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imefanya kikao cha Baraza la wafanyakazi leo ili kujadili mafanikio, mafanikio, changamoto na njia za kuweza kutatua changamoto zilizojitokeza wakati wa bajeti mwaka uliopita ya 2023/2024. Akizungumza kwenye kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu Ununuzi na Ugavi Godfred Mbanyi amesema baraza ni chombo kinachoundwa na…

Read More

Kanuni, masharti kwa wenye nia ya kugombea uongozi

Dodoma. Wakati mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa ukiendelea, kanuni za uchaguzi huo zimeweka masharti yanayotakiwa kuzingatiwa na wagombea wote ikiwamo kuwa wanachama na wadhaminiwa wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu. Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 zinalenga kuleta uwazi, haki, na usawa katika mchakato mzima wa…

Read More

Benki ya Access yakidhi vigezo ununuzi wa BancABC Tanzania

Dar es Salaam. Iliyokuwa Access Bank PLC imekamilisha mchakato na kukidhi vigezo vya kisheria na kikanuni vya ununuzi wa African Banking Corporation Tanzania Limited (BancABC Tanzania) huku ikiahidi hatua hiyo itaongeza ufanisi zaidi. Ununuzi wa benki hiyo unaifanya sasa taasisi hiyo kuitwa Access Bank Tanzania Limited. Mkurugenzi Mtendaji wa matawi ya Access Bank barani Africa,…

Read More

Miwani mpya inayotarajiwa kuleta mapinduzi duniani

Kampuni ya Meta ipo mbioni kuja na miwani mpya yenye teknolojia ya hali ya juu ambayo inatajwa kuwa na uwezo wa kuunganisha ulimwengu wa kidigitali na ulimwengu wa kweli. Miwani hiyo iliyopewa jina la Orion ambayo inatarajiwa kuwa na uwezo wa kuonyesha taarifa moja kwa moja kwenye lenzi za miwani, kama vile jumbe za sms…

Read More