Ujio wa Elie Mpanzu wamshtua Kibu

KIBU Denis ‘Mkandaji’ bado hajarudi katika kile kiwango alichokuwa nacho alipotua kwa mara ya kwanza Msimbazi msimu wa 2021-2022 alipofunga mabao manane, sasa wakati akiendelea kujitafua vyema kikosini mara paap! Mabosi wa klabu hiyo wamemshusha winga mwingine mkali kutoka DR Congo, Elie Mpanzu. Jambo hilo la kusajiliwa kwa Mpanzu ambaye kwa sasa anasikilizia tu, kujua…

Read More

TBT Queens yaichapa Spides Sisters

TBT Queens ilifanya kweli ni baada ya kuifunga timu ya Spides Sisters kwa pointi 54-44, katika ligi ya kikapu ya Mkoa wa kigoma iliyofanyika katika Uwanja Lake Side. Katibu mkuu wa chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Kigoma Aq Qassim Anasi, alisema ligi hiyo itaendelea  kesho kwa mchezo kati Lake Side na Wavuja Jasho….

Read More

Mwalimu matatani madai ya kuua mwanafunzi

  JESHI la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Adrian Tinchwa (36), ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa na Mkazi wa Kanoni, wilayani Karagwe, mkoani humo kwa tuhuma za kumshambulia na kumsababishia kifo mwanafunzi Phares Buberwa, akimtuhumu kumwibia simu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea). Mwanafunzi huyo aliyekuwa akisoma kidato cha tatu katika Shule ya…

Read More

WANAHARAKATI HURU WATOA ONYO KWA AKINA MBOWE,WAZUNGUMZIA DHUMUNI LA 4R ZA RAIS

Na Said Mwishehe,Michuzi TV WANAHARAKATI huru nchini Tanzania wameamua kuvunja ukimya na kuwakemea na kuwaonya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao wamekuwa wakianzisha chokochoko na kuhamasisha maandamano yasiyo na tija kwa Watanzania. Pia wanaharakati hao wamekitaka Chama hicho pamoja na viongozi wao kuhakikisha R4 za Rais Dk.Samia Suluhu Hassan wanazitumia vizuri badala…

Read More

Maafande wa JKU inajipigia tu Zenji

WATETEZI wa Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), JKU ubingwa inautaka tena baada ya juzi kuendelea kugawa dozi katika ligi hiyo na kuzidi kujiimarisha kileleni mwa msimamo ikiifyatua Tekeleza ya Pemba kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Gombani, visiwani humo. Mabao mawili kutoka kwa kinara wa orodha ya Wafungaji wa ligi hiyo, Mudrik Abdi Shehe na…

Read More

Netanyahu aelekeza ‘kichapo’ zaidi kwa Hezbollah

Siku moja baada ya kuambiwa asitishe vita huko Lebanon, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameliambia jeshi lake kuendelea kupigana kwa “nguvu” yake yote kusambaratisha kile alichoita ni ugaidi. Inaripoti Mitandao wa Kimataifa, Tel Aviv, Israel. Amejibu pendekezo la kusitisha mapigano lililotolewa na washirika 12 wa kimataifa, ofisi ya Netanyahu inasema: “Taarifa kuhusu kusitisha mapigano…

Read More