RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA YA LIKOLA, NAMTUMBO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kata ya Likola, Wilaya ya Namtumbo, aliposimama eneo hilo kwa ajili ya kuwasalimia, leo asubuhi tarehe 26 Septemba 2024, alipokuwa njiani kuelekea Tunduru, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa ziara yake katika…

Read More

Yanga kuna kitu kinapikwa | Mwanaspoti

USHINDI wa bao 1-0, ilioupata Yanga juzi dhidi ya KenGold katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, umeifanya timu hiyo kuendeleza rekodi bora ya kutopoteza mashindano mbalimbali tangu mara ya mwisho Aprili 5, mwaka huu. Mchezo wa mwisho kwa Yanga kupoteza wa mashindano ulikuwa ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua…

Read More

Simba yamng’oa Mtunisia Al Ahli Tripoli

KICHAPO cha mabao 3-1, ilichokipata Al Ahli Tripoli dhidi ya Simba katika mchezo wa pili kusaka tiketi ya kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kimemponza kocha Mtunisia, Chokri Khatoui aliyefutwa kazi, huku Milutin Sredojevic ‘Micho’ akitajwa kuchukua nafasi hiyo muda wowote kuanzia sasa. Taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata kutoka kwa watu wa karibu…

Read More

Serikali za Dunia, Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Yatangaza Uwekezaji wa $350m katika Huduma za Afya ya Ujinsia na Uzazi – Masuala ya Ulimwenguni

Dk. Natalia Kanem, Mkurugenzi Mtendaji wa UNFPA. Credit: UNFPA na Naureen Hossain (umoja wa mataifa) Alhamisi, Septemba 26, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Septemba 26 (IPS) – Baada ya Mkutano wa Kilele wa Mustakabali na kando ya Wiki ya Mikutano ya Ngazi ya Juu ya Umoja wa Mataifa, serikali na mashirika ya hisani…

Read More

Dk. Biteko aliomba kanisa ulinzi wa amani

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amelitaka kanisa kulinda amani nchini, huku akiwahimiza viongozi wa dini kusimamia misingi ya malezi na makuzi ya kwa watoto, ili kudumisha tunu hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Dk. Biteko amesema hayo leo tarehe 26 Septemba 2024, jijini Dodoma, wakati wa ufunguzi wa…

Read More

Haukuwa msimu mzuri kwa Pazi

HAUKUWA msimu wao. Ndivyo unavyoweza kusema kwa timu kongwe ya Pazi kwenye Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ikiziacha nyingine zikitinga hatua ya nane bora. Pazi iliyowahi kushiriki mashindano ya Afrika yaliyofanyika Afrika Kusini (BAL) 2023, iliondokewa na baadhi ya nyota wake siku mbili kabla ya kuanza  usajili. Wachezaji walioondoka…

Read More

Israel yakataa kusitisha mapigano na Hezbollah – DW – 26.09.2024

Smotrich, mjumbe muhimu katika serikali ya mseto ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, amelipinga pendekezo hilo, akisisitiza kwamba kuendeleza vita dhidi ya Hezbollah ndiyo njia pekee inayopaswa kufuatwa na Israel ili kulisambaratisha kundi la Hezbollah. Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa António Guterres aliliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hapo jana kwamba nchi ya Lebanon inatumbukia…

Read More

DIWANI ATAKA VIJANA KUSHIKAMANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.

    Na Emmanuel Massaka, Michuzi TV DIWANI wa Kata ya Mabwepande ,Muhajirina Kassim Obama amewataka vijana kushikamana na katika kukipigania Chama Cha MApinduzi katika chaguzi mbalimbali zitazofanyika kuanzia Serikali za Mtaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Hayo ameseyasema Obama katika Mkutano wake na Vijana wa UVCCM Tawi la Mbopo wa Zima zote na Kuwasha…

Read More