
PROF. MWAMILA AITAKA NELSON MANDELA KUENDELEZA UBUNIFU
Aliyekuwa Makamu Mkuu wa kwanza Taasisi ya Prof. Burton Mwamila akiongea na watumishi na wanafunzi wa taasisi hiyo wakati wa mjadala wa wazi kuhusu malengo ya uanzishwaji wake jijini Arusha. ….. ALIYEKUWA Makamu Mkuu wa kwanza Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Burton Mwamila amewetaka wahadhiri, wabunifu na watumishi…