AKILI ZA KIJIWENI: Baleke pale Yanga akaze sana

JANA nilimsikia kocha wa Yanga, Miguel Gamondi akizungumza kitu juu ya straika wake anayesotea benchi, Jean Baleke ambaye Yanga ilimsajili katika dirisha kubwa la usajili lililofungwa mwezi uliopita. Gamondi alisema kuwa mshambuliaji huyo raia wa DR Congo ana kazi kubwa ya kufanya ili apate nafasi ya kucheza mbele ya Clement Mzize na Prince Dube ambao…

Read More

Zitto ashauri upinzani kuungana kwenye chaguzi kuing’oa CCM

Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27, 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 ni vyama vya upinzani kuungana. Kutokana na hilo, mbunge huyo wa zamani wa Kigoma Kaskazini, amevishauri vyama vya upinzani kukaa meza…

Read More

Ennovate Ventures yawaita wajasiriamali kuchangamkia ufadhili wa kibiashara

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Ufadhili unatolewa na Taasisi ya Ennovate Ventures inayojihusisha katika kukuza uchumi wa Afrika kwa kuunga mkono biashara zinazoanza na kukua utaongeza usaidizi kwa wafanyabiashara na kuwawezesha kustawi, imeelezwa. Akizungumza Septemba 25,2024 na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mmoja wa Washirika katika taasisi hiyo, Francis Omorojie, amesema wafanyabiashara wa…

Read More

Vijana wanaongoza kuharibu lugha ya Kiswahili-BAKITA

Baraza la kishwahili Tanzania (BAKITA) limesema vijana ndio wanaoongoza Kwa kuharibu maneno ya kiswahili sanifu kwa kutumia maneno ya mtaani. Hayo yamesemwa na katibu mkuu wa Baraza la kiswahili Tanzania (BAKITA) wakati wa mafunzo Kwa waandishi waendesha ofisi zaidi ya mia sita yaliyofanyika mjini Moroogoro yenye lengo la kufundisha matumizi ya kiswahili sanifu na fasaha…

Read More

Kukuza Utamaduni wa Amani – Masuala ya Ulimwenguni

Majibu yanayotegemea eneo huweka jumuiya za wenyeji katikati ya mchakato wa kujenga amani. Credit: UNDP Syria Maoni na Naysan Adlparvar – Giacomo Negrotto – Adela Pozder-Cengic (umoja wa mataifa) Alhamisi, Septemba 26, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Sep 26 (IPS) – Wakati amani duniani ikifikia kiwango cha chini kabisa tangu Vita vya Pili…

Read More