
Utamu upo kati Azam vs Simba
KUNA kitu kinakwenda kutokea usiku wa leo pale Amaan Zanzibar. Azam inakwenda kuikaribisha Simba kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara ambayo kiufundi utamu uko pale kati kwenye kiungo. Katika mechi kadhaa zilizopita timu hizo zimekuwa na ufanisi mkubwa kwenye eneo hilo kutokana na aina ya mastaa waliosajiliwa. Azam chini ya Fei Toto, Adolf Mtasingwa, James…