Nafasi nyingine za ajira zaidi ya 800 zatangazwa

Dar es Salaam. Serikali imetangaza nafasi zaidi ya 800 za ajira katika kada mbalimbali ikiwemo ualimu, udereva, utaalamu misitu pamoja na watendaji wa vijiji. Nafasi hizo ni kutoka halmashauri tatu za wilaya za Kakonko, Mbulu, Iringa, mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa nafasi (600) pamoja na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) wanaohitaji watu 252….

Read More

IDADI YA WATOTO WANAOTELEKEZWA YAPUNGUA TANGA

 Raisa Said, Tanga  Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, Mkoa wa Tanga umepambana kwa bidii kukabiliana na tatizo la utelekezaji wa watoto wenye umri chini ya miaka saba. Kwa mujibu wa Ofisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Tanga, Mmassa Malugu, mikakati iliyowekwa na serikali imeanza kuzaa matunda, ambapo idadi ya watoto wanaotelekezwa imeshuka kutoka 387…

Read More

Boni Yai mahakamani tena leo kusikilizia dhamana yake

Dar es Salaam. Baada ya kukwama kufikishwa mahakamani Jumatatu hili, leo Alhamisi, Septemba 26, 2024 Meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob, anatarajiwa kufikishwa tena mahakamani kwa ajili ya uamuzi wa hatima ya dhamana yake. Jacob, maarufu Boni Yai, Mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, mfanyabiashara na mwanasiasa…

Read More

Namna ‘Lipa Namba’ inavyorahisisha malipo kidijitali

Miongo miwili iliyopita isingeweza kufikirika kuwa itafika wakati katika maisha mtu ataweza kulipia bidhaa au huduma anayonunua kwa urahisi kiasi cha kupangusa tu katika simu yake ya kiganjani. Kwa sasa hili ni uhalisia, kuwepo kwa mtindo wa malipo kupitia Lipa Namba kumeleta urahisi mkubwa wa kulipia bidhaa na huduma katika sehemu mbalimbali za biashara nchini….

Read More

Lissu kumburuza Makonda The Hugue

  TUNDU Lissu,Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Chadema na Maendeleo nchini Tanzania, amesema ameapa kumburuza kwenye Mahakama za Kimataifa, Paul Makonda, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es Salaam …(endeelea). Lissu anamtuhumu Makonda kwa kupanga, kufadhili na kutekeleza njama za mauwaji dhidi yake na watu wengine kadhaa waliouawa au…

Read More

Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi sita

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan jana Jumatano Septemba 25, 2024 amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi sita. Taarifa za uteuzi huo zimetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo: i. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL); ii. Balozi Aziz Mlima…

Read More

MTANDAO WA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI TANZANIA (TECMN) NA MSAFARA WA KAMPENI YA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI KWA MIKOA MINNE

 Na Mwandishi wetu, SHINYANGA MTANDAO wa Kutokomeza Ndoa za Utotoni Tanzania(TECMN), unaojumuisha mashirika ya kiraia zaidi ya 80 unafanya ziara katika mikoa minne ya Mara, Shinyanga, Tabora na Dodoma kutoa elimu juu ya kupambana na ndoa za utotoni nchini. Miongoni mashirika hayo, Msichana Initiative, Medea, Plan International na My Legacy ndio yamewakilisha mashirika mengina katika…

Read More