
Kitabu cha Sokoine kinatukumbusha mapito ya Taifa letu -SSH
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kitabu cha Hayati Edward Sokoine: Maisha na Uongozi Wake, kinatoa taswira ya safari ya taifa la Tanzania, huku akitaka viongozi wajifunze maisha ya uongozi uliojaa uadilifu, uaminifu na uchapakazi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Rais Samia akizindua Kitabu hicho chenye kurasa 499, leo tarehe 30…