
Rwanda iwekewe vikwazo kwa kuwaunga mkono M23 – DW – 26.09.2024
Tshisekedi ameitoa kauli hiyo wakati mkutano wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa mjini NewYork ukiingia siku yake ya tatu ambapo viongozi mbalimbali wataendelea kuhutubia juu ya changamoto zinazoikabili dunia ikiwa ni pamoja na vita na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi. Tshisekedi ambaye ametaka kuondolewa kwa wanajeshi wa Rwanda katika ardhi ya Kongo, amesema…