
‘Wanaume washirikishwe kikamilifu uzazi wa mpango’
Dar es Salaam. Imeelezwa ushiriki wa wanaume katika masuala ya uzazi wa mpango ni muhimu na utakuwa na manufaa zaidi ukionekana. Hayo yamelezwa leo Jumatano, Septemba 25, 2024 na Mkurugenzi wa Shirika Shirika la Marie Stopes Tanzania, Patrick Kinemo katika mjadala wa mtandaoni wa Mwananchi X space. Mjadala huo umeandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications…