
JKCI na Hospitali ya Medanta ya India kushirikiana matibabu ya moyo
Na: Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam. 24/09/2024 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na Hospitali ya Medanta iliyopo nchini India kubadilishana ujuzi katika fani mbalimbali za kutoa huduma za matibabu ya moyo. Ushirikiano huo umeanza kwa mara ya kwanza jana baada ya daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Hospitali ya Medanta kufika…