RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA VNA WACHEZAJI WA SIMBA NA VIONGOZI WAO IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhia Jezi ya Timu ya Simba na Nahodha wa Timu hiyo Mohammed Hussein, baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024. WACHEZAJI wa Timu ya Simba na Viongozi wao wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…

Read More

Mwenge watembelea miradi mikubwa ya Kahawa inayogharimu mabilioni Wilyani Kyerwa na Karagwe

Mwenge wa uhuru mwaka 2024 unaendelea kukimbizwa Mkoani Kagera ukiwa unapitia miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoani humo. Ukiwa Wilayani Kyerwa,pamoja na miradi mingine umefika katika Kiwanda cha kuongeza thamani ya zao la kahawa kinachomilikiwa na kampuni ya KADRES na kuweka jiwe la msingi katika kiwanda hicho kinachoendelea kujengwa ambacho kitasaidia kuongeza thamani ya zao la…

Read More

Rais wa Dkt. Samia Ameshiriki kuchambua mahindi bora na wakulima katika Kituo cha Ununuzi wa Nafaka cha Mbinga – Sokoni, Mkoani Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kuchambua mahindi bora na wakulima ili kuyauza katika Kituo cha Ununuzi wa Nafaka cha Mbinga – Sokoni, Mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba 2024. Aidha, Mhe. Rais Dkt. Samia pia amepokea taarifa kutoka kwa Dkt. Andrew Komba, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Taifa…

Read More

Viboreshaji Mara tatu Vinavyoendeshwa na Kampuni na Huduma za Nishati Zinazomilikiwa na Serikali – Masuala ya Ulimwenguni

Kufikia lengo la kuongeza mara tatu uwezo wa uzalishaji wa bidhaa zinazoweza kurejeshwa ifikapo 2030, na kuondoa kaboni kwa mfumo wa kimataifa wa umeme, kunahitaji ushiriki hai wa SPCU. Credit: Bigstock. Maoni na Leonardo Beltran, Philippe Benoit (washington dc) Jumatano, Septemba 25, 2024 Inter Press Service WASHINGTON DC, Septemba 25 (IPS) – Jumuiya ya hali…

Read More

Waziri Mkuu ateta na Mwenyekiti wa Bodi ya CITIBANK

Na Mwandishi Maalum Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imekuwa inafanya kazi na benki ya Citibank ya Marekani kwa zaidi ya miaka 35 na imekuwa ikipokea ushauri wa mambo ya kifedha kupitia Benki Kuu ya Tanznaia (BoT). Amesema hayo jana Septemba 24, 2024 alipokutana na Mwenyekiti wa Citibank, John Dugan, kwenye makao makuu ya benki…

Read More

Mtasingwa kikwazo kwa Mkolombia Azam FC

KIUNGO mkabaji wa Azam FC Mcolombia, Ever Meza amesema yupo sehemu sahihi ndani ya kikosi hicho, licha ya changamoto ya namba kutokana na uwepo wa Adolf Mtasingwa akimtaja kuwa ndiye anampa changamoto kwa sasa kikosini. Meza ametua Azam FC akitokea Leonnes FC ya kwao Colombia ameliambia Mwanaspoti kuwa, licha ya kukosa namba ya kudumu kikosi…

Read More

Kagera yavimbia Ligi Kuu, beki akituma salamu

BAADA ya kuonja ushindi wa kwanza Ligi Kuu, Kagera Sugar imetamba kuwa imepata mwanga mpya na sasa iko tayari kwa mwendelezo wa michuano hiyo ikiwavimbia Fountain Gate. Kagera Sugar haikuwa na mwanzo mzuri ilipocheza mechi tatu mfululizo bila kuonja ushindi wala sare kabla ya mchezo uliopita dhidi ya Ken Gold kutakata kwa mabao 2-0 na…

Read More

TRA YAHAMASISHA WAFANYABIASHARA KULIPA KODI KWA WAKATI

  Kamishna wa Kodi za Ndani TRA, Alfred Mrengi    Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewahimiza Wafanyabiashara walipe kodi stahiki na kuwasilisha marejesho ya kodi kwa wakati ili kuepuka adhabu na riba endapo watachelewa. Wito huo umetoewa leo Jumatano Septemba 25,2024 na Kamishna wa Kodi za Ndani TRA,…

Read More