Dk. Biteko azitaka wizara, taasisi, wakala wa serikalini kutenda bajeti ya kutosha Shimiwi

  WIZARA, Taasisi, Mashirika, wakala  za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili ya kushiriki Michezo ya SHIMIWI ili kukidhi malengo na misingi ya kuanzishwa kwa kwa michezo hiyo na kuleta tija. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko wakati akimwakilisha Rais…

Read More

Wachezaji Simba wakutana na Rais Zanziba

Na Mwandishi Wetu Wachezaji wa timu ya Simba, viongozi na benchi la ufundi wamekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Septemba 25,2024 baada ya kuwasili visiwani humo kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Azam utakaochezwa Uwanja wa Amani Complex. Katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu…

Read More

NAIBU WAZIRI CHUMI NA BALOZI WA JAPAN WAKUTANA JIJINI DODOMA

Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi yaliyofanyika jijini Dodoma.  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa…

Read More

Maagizo ya Waziri Kijaji kwa wasimamizi wa miradi Zanzibar

Pemba. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dk Ashatu Kijaji amewataka waratibu na wasimamizi wa miradi inayosimamiwa na kutekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Pia amewaagiza kuhakikisha kuwa miradi hiyo inatatua changamoto zinazowakabili wananchi. Dk Kijaji ametoa kauli hiyo leo Septemba 25, 2024 kwenye ziara…

Read More