Baada ya Simba, Mussa ataka heshima Mashujaa

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Mohamed Mussa anayekipiga kwa sasa Mashujaa, amesema akili yake ni kusaka heshima katika Ligi Kuu Bara na kwamba anaona msimu huu anarudi na moto. Akiwa Simba iliyomsajili Januari 2023 kutoka Malindi ya Zanzibar, mchezaji huyo alikiwasha mechi moja tu ya FA dhidi ya Coastal Union aliyoshangilia hadi kuvua tisheti, ambapo…

Read More

Babu aliyehukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mjukuu, aachiwa huru

Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, imemuachia huru babu (ambaye kwa sababu za kimaadili na kisheria zinazotaka mwathirika asitambuliwe kwa namna yoyote, tunahifadhi jina lake), aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa madai ya kumbaka mjukuu wake. Mkazi huyo wa eneo la Kantalamba Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, alidaiwa kumbaka mjukuu wake mwenye umri wa…

Read More

BILIONI 15 KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI PWANI

-VITONGOJI 135 NDANI YA MAJIMBO 9 KUNUFAIKA-RC PWANI AMSHUKURU RAIS SAMIA Na Mohamed Saif Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Shilingi Bilioni 15 kutekeleza Mradi wa Kusambaza umeme kwenye vitongoji 135 Mkoani humo. Ametoa shukran hizo leo Septemba 25,…

Read More

Makatta awafungia kazi mastraika | Mwanaspoti

PAMOJA na matokeo ya sare kuiandama Tanzania Prisons, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbwana Makata ameipongeza beki yake kwa kutoruhusu bao lolote, huku akiwafungia kazi mastraika. Maafande hao wameandamwa na mzimu wa sare mfululizo katika michezo minne waliyocheza ikiwa hawajafunga wala kufungwa bao, jambo lililomuamsha Makata kuja kivingine. Timu hiyo inatarajia kuwa uwanjani kuwakabili Namungo,…

Read More