
Tanzania, China kugeukia ushirikiano wa kimkakati
Dar es Salaam. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesisitiza kuwa uhusiano na China haupaswi kutanguliza tu mafanikio ya kiuchumi ya muda mfupi bali pia kubadilika na kuwa ushirikiano wa kimkakati wa muda mrefu, ambao utanufaisha mataifa yote mawili. Akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 75 ya kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China,…