
Vijana 12 wabuni roboti inayopiga picha za video
Dodoma. Changamoto ya wapigapicha kusimama muda mrefu wakichukua picha za matukio mbalimbali, imewasukuma vijana 12 wa ngazi tofauti za elimu kutengeneza roboti linaloweza kufanya kazi hiyo. Ubunifu huo umekuja kutokana na hatua ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuonyesha roboti Eunice wakati ilipokuwa ikiwasilisha hotuba ya bajeti yake bungeni Dodoma, Mei mwaka…