
China yafanya majaribio ya kombora la masafa marefu – DW – 25.09.2024
Wizara ya Ulinzi Beijing imesema katika taarifa yake kwamba kombora hilo aina ya ICBM ambalo kichwa chake sio halisi lilirushwa kwenye kina kirefu katika bahari ya Pasifiki. Majaribio hayo ya Kikosi cha Roketi cha Jeshi la China ulikuwa ni sehemu ya mafunzo ya kawaida ya kila mwaka, ambayo china inasema yamezingatia sheria za kimataifa na…