
Mawakili wa Mpina walivyoijibu Serikali kesi aliyomfungulia Spika, Waziri wa Kilimo
Dar es Salaam. Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi hilo halina mashiko na wakaiomba Mahakama ilitupilie mbali. Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Mpina anapinga Bunge na utaratibu uliotumika kumpa adhabu…