
Breaking: Waliotumwa na Afande wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela, ‘Kesi ya Binti wa Yombo’
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma (Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki) leo September 30,2024 imewahukumu kifungo cha maisha jela Washtakiwa wanne wakiwamo Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Magereza baada ya kuwakuta na hatia katika makosa yote mawili walioshtakiwa nayo la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile Binti Mkazi wa Yombo Dovya,…