KAMATI YA SIASA LUDEWA YARIDHISHWA NA MIRADI

Na. Damian Kunambi, Njombe Kamati ya Siasa Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imekagua na kuridhishwa na mwenendo wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kutoa wito kwa watumishi na wananchi kuhakikisha kuwa wanatunza miradi mbalimbali katika maeneo yao Ili iweze kudumu Kwa muda mrefu na kuweza kuwasaidia. Akizungumza mara baada ya kufanya ukaguzi wa mradi wa Barabara…

Read More

Mrithi wa Mgunda Simba huyu hapa

SIMBA Queens inasaka kocha mpya baada ya kuachana na Juma Mgunda na sasa iko mbioni kukamilisha dili la Kocha wa CBE ya Ethiopia, Birhanu Gizaw. Septemba 8, mwaka huu, Simba Queens ilitangaza kuachana na Mgunda ambaye alidumu katika kikosi hicho kwa msimu mmoja akiipatia timu hiyo ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake na Ngao ya…

Read More

Viongozi SMZ watekeleze kwa vitendo ahadi zao

Utawala wa demokrasia, haki na usawa hupimwa siyo kwa kuwa na Katiba nzuri au kauli za kuvutia, bali kwa vitendo vinavyoonekana uwanjani. Kwa maana nyingine kigezo ni vitendo na siyo maandishi yaliyomo kwenye Katiba na sheria za nchi. Hii ndiyo sababu iliyowafanya wahenga kutuambia “Ada ya mja kunena, muungwana ni vitendo.” Katika kusisitiza maana ya…

Read More

Eagle yaendelea kutukisa MRBA | Mwanaspoti

EAGLE inazidi kuonyesha makali katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (MRBA), baada ya kuifunga CUHAS kwa pointi 71-44 katika Uwanja wa Mirongo mjini humo. Ushindi kwa timu hiyo ni wa tatu mfululizo kwani katika mchezo kwanza iliifunga Young Profile kwa pointi 49-43 na ule wa pili ikaifunga Sengerema Hoopers pointi 52-49. Katika mchezo huo,…

Read More

Historia ya mvutano maandamano kati ya Polisi, upinzani Tanzania

Katika nchi nyingi zinazoendelea, uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani umekuwa wa kusuasua kutokana na mivutano ya kisheria na kikatiba, hasa linapokuja suala la maandamano. Hali hiyo ipo pia Tanzania, Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani, kihistoria, wamekuwa na uhusiano usioridhisha ambapo kila mmoja anatumia kifungu kwenye Katiba kuhalalisha anachotaka…

Read More

Wamarekani kuwekeza kwa vijana kikapu

SHIRIKISHO la Kikapu Tanzania (TBF) na Taasisi ya Kimataifa ya iCARRe Foundation kutoka Marekani zimeingia mkataba wa miaka miwili utakaosimamia maendeleo ya kikapu kwa vijana. Hafla hiyo hiyo ilifanyika katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Park), ikishuhudiwa na makocha wa timu ya taifa na viongozi wa TBF. Viongozi wa iCARRe Foundatiom waliwakilishwa…

Read More

Zaidi ya Nchi 30 zathibitisha kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Utalii SITE 2024

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Zaidi ya nchi 30 zimethibitisha kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili International Tourism Expo (SITE), yanayotarajiwa kufanyika nchini Tanzania kuanzia Oktoba 11 hadi 13, 2024. Maonesho hayo yanafanyika kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji endelevu katika sekta ya utalii, huku kaulimbiu ya mwaka huu ikiwa “Tembelea Tanzania kwa Uwekezaji…

Read More

Mwalimu mbaroni akidaiwa kumuua mwanafunzi kwa kichapo

Kagera. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa. Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda imesema mwalimu huyo ambaye ni mkazi wa Kata…

Read More

Unayakumbuka mabasi ya ‘kumbakumba’ | Mwananchi

Wahenga wa Dar es Salaam, hawatosahau usafiri wa mabasi ya ghorofa na yale ya Ikarus maarufu kwa jina la ‘kumbakumba’. Ikarus yalikuwa mabasi marefu yakimilikiwa na lililokuwa Shirika la  Usafiri Dar es Salaam au maarufu kwa kifupi cha Uda. Yaliitwa kumbakumba kwa namna yalivyokuwa yakichukua idadi kubwa ya abiria kama ilivyo sasa kwa baadhi ya…

Read More