
Ulimwengu wataka Mashariki ya Kati isitumbukie vitani – DW – 25.09.2024
Mbali na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres, Rais wa Marekani, Joe Biden, na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, takribani viongozi wote ambao wamekuwa wakizungumza tangu kufunguliwa kwa mkutano huu wa 79 waHadhara Kuu ya Umoja wa Mataifasiku ya Jumanne (Septemba 24) wamekuwa wakijielekeza kwenye mzozo huo wa Asia ya Magharibi ama Mashariki…