
Mamlaka za ajira zatakiwa kuwatendea haki watumishi
Dodoma. Naibu Waziri (Ofisi ya Rais), Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amezitaka mamlaka za ajira kuzingatia weledi wakati wa kusikiliza malalamiko ya watumishi ili kuiepushia Serikali gharama pindi malalamiko hayo yanapopelekwa kwenye rufaa. Ametaja miongoni mwa udhaifu wa mamlaka hizo ni kutotoa fursa ya mtumishi kujitetea anapokuwa ametuhumiwa na matokeo…