
Akutwa amefariki dunia ndani ya gari Magomeni
Dar es Salaam. Mwili wa mwanamume ambaye bado hajafahamika jina lake, umekutwa ndani ya gari ya Range Rover, eneo la Magomeni Mapipa wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Gari hilo lilikokuwa limeegeshwa Magomeni, halina namba ya usajili wa Tanzania. Eneo lililokuwa gari hilo ni maarufu kwa uuzaji wa magari ya aina mbalimbali ambayo huegeshwa kwa…