Ndumbaro: Kriketi  dunia wanafuzu Dar

SERIKALI imesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchezo wa kriketi kiasi cha kuaminiwa kuandaa mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia kwa upande wa Afrika, yajulikanayo kama ICC Men’s T20 World Cup Sub Regional Africa Qualifier A. Mashindano hayo kwa sasa yanafanyika kwenye viwanja viwili, Uwanja wa Dar es Salaam Gymkhana na Chuo Kikuu cha…

Read More

Maagizo ya Rais Samia kwa Bashe, Aweso

Peramiho. Rais Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kufuatilia taarifa za uwepo wa wakulima wa kahawa wanaokatwa kinyemela sehemu ya fedha za mauzo ya zao hilo. Hatua ya kukatwa kwa fedha hizo, inatokana na kilichoelezwa na Rais Samia kuwa, bei ya kahawa mwaka huu imeongezeka maradufu, hivyo baadhi ya vyama vya ushirika…

Read More

SHEHENA YA NANASI ZA BAGAMOYO ZAINGIZWA JAPAN.

BALOZI wa Tanzania Japan Baraka Luvanda kwa mara ya kwanza amepokea shehena ya Mananasi yaliyokaushwa kutoka kimele na Mapinga katika wilaya ua Bagamoyo Tanzania ikiwa ni sehemu ya utamburisho wa zao hilo katika soko la Japan. Balozi Luvanda amepokea bidhaa hiyo Septemba 24 , 2024 kupitia Kampuni ya Taishin Co. Ltd., ya Japan katika Bandari…

Read More

Namba za chama Yanga zaanza kutisha CAF

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama amehusika kwenye mabao manane kati ya 17 yaliyofungwa na Yanga ikitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, akimfunika Stephane Aziz Ki ambaye amehusika kwenye mabao matano akifunga manne na asisti moja. Yanga ilianzia hatua za awali kwenye michuano hiyo imecheza mechi nne na kati ya hizo imefunga…

Read More

Mkutano mkuu wa nishati Afrika kufanyika Tanzania

Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa masuala ya nishati barani Afrika utakaotafuta namna ya kukusanya dola za Marekani bilioni 190 (sawa na Sh518.8 bilioni) ili zitumike kufikisha umeme kwa wananchi milioni 300 barani humo ifikapo mwaka 2030. Hatua hiyo inatokana na mkakati wa Serikali kupeleka umeme vijijini na vitongojini kwa kasi…

Read More

RAIS SAMIA: TUSITETERESHE UCHUMI, SOKO HUPANDA NA KUSHUKA

Wakulima nchini wamehaswa kutunza fedha pale wanapouza nafaka zao kwa bei nzuri ili soko linaposhuka wawe na hifadhi ya kutosha. Wameelezwa kuwa bei za masoko hazitabiriki hivyo ni muhimu kwa wakulima kuwa makini na rasilimali fedha wanazochuma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hayo tarehe 24 Septemba 2024…

Read More

Ulimwengu ni lazima uiokoe Lebanon – DW – 24.09.2024

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema katika ufunguzi wa mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Jumanne, Septemba 24, 2024 mjini New York kwamba watu wa Lebanon, watu wa Israel na ulimwengu mzima ni lazima wahakikishe kuwa Lebanon haigeuki na kuwa Gaza nyingine. Soma:  Iran yaelezea wasiwasi kuhusu makabiliano ya Israel na Hezbollah…

Read More

PROF.KUSILUKA AWASILISHA MADA  MKUTANO WA KIMATAIFA WA MAAFISA MAWASILIANO YA UMMA,AFRIKA MASHARIKI

Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka akiwakilisha mada wakati wa mkutano wa kimataifa wa Maafisa Mawasiliano ya Umma Afrika Mashariki unaofanyika kwa mara ya kwanza Tanzania, Arusha Na.Mwandishi Wetu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, leo Jumanne tarehe 24 Septemba, amewasilisha mada katika Mkutano wa kimataifa wa…

Read More