
Mahakimu watakiwa kutenda haki ili kujenga imani
Lushoto. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Tanga, Katarina Mteule amewasihi Mahakimu wakazi kutenda kazi zao kwa weledi, uwazi, haki na uadilifu ili uamuzi wao mahakamani uheshimiwe na wananchi wanaokwenda kwao kutafuta haki. Jaji Katarina amezungumza hayo jana Jumatatu, Septemba 23, 2024 wakati akifungua mafunzo elekezi kwa Mahakimu wakazi 28 katika Chuo…