
PPAA YAFANYA TATHMINI YA MODULI YA KUWASILISHA MALALAMIKO/RUFAA KIELETRONIKI
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeanza kufanya tahmini ya kutumia Moduli ya kupokea na kuwasilisha malalamiko na rufaa kieletroniki katika Mfumo wa Ununuzi wa Umma Kieletroniki (NeST). Kufanyika kwa tahmini hiyo ni kuashiria kuwa muda si mrefu moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko itaanza rasmi kutumika kama ilivyokuwa imekusudiwa. Akifungua kikao kazi…