Aliyejifanya Jakaya Mrisho Kikwete (Jakaya Kikwete foundation) apandishwa kizimbani Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimani mkazi wa Mabwe pande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujiwasilisha kama yeye ni Jakaya Mrisho Kikwete huku akijua sio kweli. Wakili wa Serikali, Salma Jafari alidai hayo hapo jana tarehe 23 Septemba, 2024 alipokuwa akimsomea mshtakiwa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi…

Read More

NAIBU WAZIRI SANGU: MAAMUZI YA MAMLAKA ZA AJIRA NA NIDHAMU KWA WATUMISHI ZINAIINGIZIA HASARA SERIKALI

 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akizungumza leo na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma mara baada ya kushuhudia  usikilizaji wa  rufaa na malalamiko yaliyowasilishwa na watumishi watuhumiwa ambao hawakuridhika  na uamuzi uliofanywa  na  Mamlaka zao za Ajira na Nidhamu katika maeneo yao ya…

Read More