
Benki ya CRDB kushirikiana na wadau kimataifa Mpango wa MADE Alliance Africa kukuza ujumuishi wa Kidijitali kwa Wakulima nchini
Benki ya CRDB inajivunia kutangaza ushirika katika mpango wa uwezeshaji na ujumuishi wa wakulima kidijitali nchini kupitia programu ya ‘MADE Alliance: Africa’. Programu hiyo inatekelezwa kwa ushirikiano wa MasterCard, Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), pamoja na Serikali, ambapo Dola za Marekani bilioni 300 zinetengwa kusaidia ujumuishi wa kidijitali kwa wakulima barani Afrika. Kupitia mpango huo…