
Mastraika Prisons wapewa dakika 35 kuimaliza Fountain
Wakati Tanzania Prisons ikitarajia kushuka uwanjani kesho dhidi ya Fountain Gate, benchi la ufundi limetumia zaidi ya dakika 35 za mazoezi ya mwisho kuwafua mastraika wake kwa ajili ya kufunga mabao. Prisons iliyocheza mechi tano hadi sasa haijashinda wala kufunga bao ikipoteza mchezo mmoja dhidi ya Namungo na kesho Jumanne itakuwa katika Uwanja wa Sokoine…