
Mwili wa kijana wakutwa kando ya Barabara ya Mandela
Dar es Salaam. Mwili wa kijana ambaye hajafahamika jina lake, umekutwa kando Barabara ya Mandela eneo la Tabata Relini jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea jana Jumatatu Setemba 22, 2024, saa nne mchana baada ya wenyeji wa eneo hilo kumtilia shaka wakidai wamemuona amelala kwa siku nne bila kuamka. Akizungumza na Mwananchi eneo hilo,…