Viongozi wa kimila 103 wapewa mafunzo kuhusu mradi wa EACOP

  JUMLA ya viongozi wa kimila 103 kutoka makundi ya watu wa asili (VEG-IP) wanaopitiwa na Mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) wamenolewa na kupewa elimu namba mradi huo utatekelezwa kwa kuheshimu mila na tamaduni zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha …(endelea). Viongozi hao wamepatiwa matunzo hayo katika mkutano…

Read More

UDSM yaanza ujenzi kampasi mpya ya kilimo Lindi

UJENZI wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Ndaki ya Kilimo Kampasi ya Lindi unaoendelea kujengwa Ngongo Manispaa ya Lindi kupitia mradi wa HEET umefikia asilimia 23 ikiwa ni miezi mitatu tangu kuanza kwa ujenzi.   Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni katika mradi huo, Naibu Mratibu wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa…

Read More

NMB yaipatia SHIMIWI vifaa vya michezo vya mil.24

  SHIRIKISHO la Michezo ya Wizara, Idara, Wakala za Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa Tanzania (SHIMIWI) pamoja na baadhi ya klabu zake zinazoshiriki kwenye michezo ya mwaka 2024 mkoani Morogoro, wamepata udhamini wa vifaa na jezi kutoka Benki ya NMB. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Akikabidhi vifaa ambavyo ni mipira ya michezo…

Read More

HII NDIO DAWA YA MIGOGORO YOTE NDANI YA NDOA!

Jina langu ni Mami kutoka Mwanza, Tanzania, mwaka mmoja baada ya kufunga ndoa na mume wangu Kelvin mambo yalianza kubadilika hasa kwa upendo aliokuwa nao mwanzo mume wangu alipunguza. Hali hii ilinipa wasiwasi mkubwa sana lakini kiukweli mume wangu nilimkabidhi moyo wangu wote hivyo sikumfikilia vibaya licha ya hayo niliyokuwa napitia. Tukiwa tumelala kitandani aliniambia…

Read More

Haya hapa majina waliochaguliwa kujiunga Polisi

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limetangaza majina ya vijana waliochaguliwa kujiunga na jeshi hilo pamoja na tarehe ya kuripoti shuleni. Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Jumatatu Septemba 23, 2024 inasema majina ya waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kuanzia Septemba 30, 2024. “Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana wote waliochaguliwa kujiunga na Jeshi…

Read More