
Mwenge wa Uhuru wazindua mradi wa maji uliogharimu zaidi ya Bilioni 3
Mwenge wa uhuru mwaka 2024 leo umeendelea kukimbizwa Mkoani Kagera ambapo unakagua na kuzindua miradi mbalimbali ya kimaendeleo. Ukiwa Wilayani Ngara umezidua mradi wa maji wa Rusumo unaotekelezwa na wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) ukigharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu za Kitanzania. Akisoma taarifa ya mradi huo Meneja wa RUWASA…