
Simba, Yanga bado dakika 270
MUDA wa kuendelea kufanya shangwe la kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, umekwisha na sasa wakongwe wa soka la Tanzania, Yanga na Simba wana kibarua kigumu cha dakika 270 sawa na mechi tatu. Kibarua walichonacho wakongwe hao kila mmoja ni katika kuwania pointi tisa zinazopatikana katika mechi…