Kuongezeka kwa kasi kwa vurugu huko Gaza, Israel na Lebanon – Masuala ya Ulimwenguni

Haya yanajiri wakati afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon Jeanine Hennis-Plasschaert alipoanza ziara rasmi nchini Israel kukutana na maafisa wakuu wa serikali, baada ya akisisitiza kwamba “hakuna suluhu la kijeshi ambalo litafanya kila upande kuwa salama zaidi”. Nchini Lebanon, imeripotiwa kuwa watu wa kusini walipokea jumbe za simu na mitandao ya kijamii siku…

Read More

Beki Al Ahli Tripoli amuomba radhi Deborah Simba

Beki wa Al Ahly Tripoli ya Libya, Thienry Manzi amemuomba radhi kiungo wa Simba, Deborah Fernandez, baada ya kumuumiza kwenye mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya mtoano. Tukio hilo lilitokea kipindi cha pili ambapo Manzi alionekana kumkanyaga Deborah baada ya wawili hao kuangushana wakati wanawania mpira. Kwenye tukio hilo licha ya…

Read More

RC MACHA AIPONGEZA TANROADS KUWEKA BANGO LA KISWAHILI MRADI UJENZI WA BARABARA YA KAHAMA – KAKOLA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha (aliyevaa miwani)akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi…

Read More

Kilwa yaondokana na changamoto ya umeme

Kilwa. Wananchi wa kijiji cha Zinga kilichopo wilayani Kiwa Mkoa wa Lindi waliokuwa wakikabiliwa na changamoto ya umeme kwa muda mrefu sasa wamepatiwa ufumbuzi. Akizungumza leo Jumatatu Septemba 23, 2024, baada ya kuwashwa kwa umeme wa REA kijijini Zinga Kibaoni, Mkurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassani Saidi amesema Mkoa wa Lindi umebakisha…

Read More

JAFO:TUTAFUFUA NA KUANZISHA VIWANDA VIPYA MKOANI LINDI

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Bweni la Watoto Maalumu katika Shule ya Msingi Mpilipili wilayani Lindi wakati akihitimisha ziara ya siku sita mkoani humo yenye kauli mbiu isemayo ‘Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone’ inayolenga kukagua utekelezaji wa miradi…

Read More

Mwanzo – mwisho maandamano ya Chadema Dar

Dar es Salaam. Ni hekaheka. Ndivyo unaweza kusimulia hali ilivyokuwa katika baadhi ya maeneo ya  Jiji la Dar es Salaam kuanzia asubuhi hadi jioni. Askari wa  Jeshi la Polisi walitanda maeneo mbalimbali kuhakikisha hali ni shwari. Ulinzi huo ulitawala  hasa maeneo ya makutano ya barabara mathalani Ubungo, Mwenge, Tazara, Buguruni, Kilwa na maeneo ya Kariakoo…

Read More

RC MACHA AZINDUA BANGO LA KISWAHILI MRADI UJENZI BARABARA YA LAMI KAHAMA –BULYANHULU JCT- KAKOLA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola  Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha (aliyevaa miwani)akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi…

Read More