
Makandarasi 42 wasaini mikataba kuanza ujenzi barabara za Lindi
Lindi. Makandarasi 42 wamesaini mikataba ya ujenzi wa barabara chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) katika Mkoa wa Lindi. Hafla ya uwekaji saini imefanyika leo Jumatatu Septemba 23, 2024 katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, ikihusisha utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025. Mkuu wa Mkoa…