Viongozi wa dunia kuhutubia Baraza Kuu la UN kuanzia Jumanne – DW – 23.09.2024
Mamia ya viongozi hao wa dunia wanakutana wakati Umoja wa Mataifa ukikabiliwa na changamoto kadhaa zikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa, mgogoro wa Mashariki ya Kati, na vita vya Urusi na Ukraine. Mkutano wa 79 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa unaofanyika kila mwaka utakaochukua muda wa siku sita unahudhuriwa na mataifa 193 wanachama….