Sahara Sparks 2024 kicks off with thought leadership dialogue on skill development in the digital age

  The most anticipated thought leadership experiential event of the year, Sahara Sparks has kicked off today (September 23rd) with thought leadership panel discussions and dialogue on strategic areas of skills development and the potential of leveraging innovation and technology to ultimately build an acquainted workforce with potential to thrive in the ever-evolving digital age,…

Read More

Beki Simba haonekani kambini | Mwanaspoti

WAKATI sakata la mshambuliaji wa Simba Queens, Aisha Mnunka likiwa bado halijaisha, limejibuka jipya kuhusu beki wa timu hiyo Mkongomani Daniella Ngoyi ambaye naye haonekani klabuni na hajatoa taarifa. Daniella anakuwa mchezaji wa pili kuondoka kambini bila taarifa baada ya awali Aisha ambaye tangu Simba Queens itangaze hawamuoni, bado hajatokea kikosini hapo. Simba Queens ipo…

Read More

Wakili Mwasipu: Lissu anatuhumiwa kuhamasisha vurugu maandamano ya Chadema

Dar es Salaam. Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu anashikiliwa kituo cha Polisi Mbweni, Dar es Salaam akituhumiwa kuhamasisha watu kufanya vurugu kupitia maandamano yaliyoitishwa na chama hicho. Lissu ni miongoni mwa viongozi na wanachama zaidi ya 40 wa chama hicho, akiwamo mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, waliokamatwa kwa nyakati…

Read More

Bibi wa miaka 74 auawa kwa kukatwakatwa mapanga

Buchosa. Sarah Petro (74), mkazi wa Kijiji cha Magulukwenda, Kitongoji cha Mizorozoro Kata ya Kalebezo wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza, ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana. Mauaji hayo yametokea jana Jumapili Septemba 22, 2024 saa mbili usiku wakati akitokea kwa mtoto wake anayeishi jirani naye. Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Septemba 23, 2024, Mkuu…

Read More