Wanawake wawezeshwe kiuchumi kuweka uwanja sawa wa kisiasa

Dar es Salaam. “Tangu nikiwa shule ya msingi, nilikuwa na ndoto ya kuwa kiongozi. Mnamo mwaka 2019, nilifanya ndoto hiyo kuwa kweli kwa kujitosa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Chakula Bora, Manzese, Dar es Salaam.” “Safari hii ya uongozi haikuwa rahisi wala ya ghafla; nafasi mbalimbali za uongozi nilizoshikilia tangu shule…

Read More

Biashara Kariakoo zadorora tishio la maandamano Chadema

Dar es Salaam. Eneo la kuzunguka Soko la Kimataifa la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, shughuli mbalimbali za kiuchumi zinaendelea, huku kukiwa na idadi ndogo ya wateja. Mpaka kufikia mchana wa saa 7:30 leo Jumatatu Septemba 23, 2024 maduka mengi kuzunguka eneo hili yalikuwa yamefunguliwa na biashara kuendelea kama kawaida. Badhi ya maduka bado hayajafunguliwa….

Read More

Mapendekezo ya wanazuoni, Zanzibar ikitimiza miaka 60 elimu bila malipo

Unguja. Wakati Zanzibar ikitimiza miaka 60 ya elimu bila malipo leo Jumatatu, Septemba 23, 2024, wanazuoni na wanataaluma wametoa mapendekezo namna elimu hiyo inavyotakiwa kuboreshwa, ili kuendana na mahitaji ya sasa ya kidunia. Wamesema bado elimu inayotolewa inamlazimisha mwanafunzi asome kitu gani, badala ya mwanafunzi mwenyewe kuamua anachotaka kusoma, hivyo kuna haja ya kubadilisha mitalaa,…

Read More

Majaliwa atoa ujumbe wa Tanzania mkutano wa UNGA79

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Umoja wa Mataifa hauna budi kuyaunga mkono mataifa madogo ambayo hayana uwezo kiuchumi, ili yaboreshe mipango yao ya ndani.  Amesema hayo jana jioni Jumapili, Septemba 22, 2024, wakati akiwasilisha salamu za Serikali ya Tanzania kwenye ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi…

Read More

Makocha, Waamuzi  judo wanolewa kimataifa

MAKOCHA na Waamuzi30 wa mchezo wa judo wameanza mafunzo ya kimataifa ya mchezo huo ya level one. Miongoni mwa washiriki ni nyota wa timu ya taifa, Andrew Thomas, Anangisye Pwele, Abou Mteteko na mwanadada, Asiatu Juma. Mafunzo hayo ya siku 10, yameanza Septemba 22, 2024 kwenye  kituo cha Olympafrica kilichopo Kibaha Mkuza, mkoani Pwani. Mwenyekiti…

Read More