
SPD chapata ushindi uchaguzi wa jimbo la Brandenburg – DW – 23.09.2024
Ushindi huo unampa Kansela Scholz ahueni dhidi ya ukosoaji unaomkabili kuhusu uongozi wake ndani ya chama hicho. Chama cha SPD kilipata ushindi wa dakika za mwisho katika jimbo la mashariki mwa Ujerumani la Brandenburg, ambako kimekuwa kikiliongoza tangu kuungana tena kwa Ujerumani mbili mwaka 1990. Kulingana na shirika la habari la Ujerumani la dpa, matokeo…